Luka 1:3-4
Luka 1:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango, ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa.
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu, upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
Shirikisha
Soma Luka 1