Walawi 9:22
Walawi 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Aroni alipomaliza kutolea sadaka zote: Sadaka za kuondoa dhambi, sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, aliwainulia watu mikono, akawabariki, kisha akashuka chini.
Shirikisha
Soma Walawi 9Walawi 9:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Haruni akainua mikono yake na kuielekeza kwa hao watu, akawabariki; kisha akashuka akisha isongeza sadaka ya dhambi, na sadaka ya kuteketezwa, na sadaka za amani.
Shirikisha
Soma Walawi 9