Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 7:28-29 - Linganisha Matoleo Yote

Walawi 7:28-29 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Shirikisha
Walawi 7 BHN

Walawi 7:28-29 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Nena na wana wa Israeli uwaambie, Yeye asongezaye dhabihu yake ya sadaka za amani kwa BWANA, atamletea BWANA matoleo yake, kutoka katika ile dhabihu ya sadaka zake za amani

Shirikisha
Walawi 7 SUV

Walawi 7:28-29 SRUV (Swahili Revised Union Version)

BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Nena na wana wa Israeli uwaambie, Yeye asongezaye dhabihu yake ya sadaka za amani kwa BWANA, atamletea BWANA matoleo yake, kutoka katika ile dhabihu ya sadaka zake za amani

Shirikisha
Walawi 7 SRUV

Walawi 7:28-29 NEN (Neno)

BWANA akamwambia Musa, “Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa BWANA ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa BWANA.

Shirikisha
Walawi 7 NEN