Walawi 6:12
Walawi 6:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na huo moto ulio madhabahuni atautunza uwake daima juu yake, usizimike; naye kuhani atateketeza kuni katika moto huo kila siku asubuhi; naye ataipanga sadaka ya kuteketezwa juu yake, naye atayateketeza mafuta ya sadaka za amani juu yake.
Walawi 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Walawi 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Moto wa madhabahu lazima uendelee kuwaka, na wala usizimwe. Kila siku asubuhi kuhani ataweka kuni kwenye moto huo na juu yake atapanga sadaka ya kuteketezwa, kabla ya kuteketeza mafuta ya sadaka ya amani.