Walawi 26:8
Walawi 26:8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Watu wenu watano watafukuza adui mia moja, na watu wenu mia moja watafukuza adui elfu kumi, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia moja, na watu mia moja wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.
Shirikisha
Soma Walawi 26