Walawi 26:5
Walawi 26:5 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kupura nafaka kwenu kutaendelea hadi wakati wa kuvuna zabibu. Na kuvuna zabibu kutaendelea hadi wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kupura nafaka kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu, na uvunaji zabibu mpaka wakati wa kupanda mbegu. Mtakuwa na chakula tele na kuishi kwa usalama nchini mwenu.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena kupura nafaka kwenu kutaendelea hata wakati wa kuvuna zabibu, na kuvuna zabibu kutaendelea hata wakati wa kupanda mbegu; nanyi mtakula chakula chenu na kushiba, na kuishi katika nchi yenu salama.
Shirikisha
Soma Walawi 26