Walawi 25:8
Walawi 25:8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mtahesabu miaka saba mara saba na jumla yake ni miaka arubaini na tisa.
Shirikisha
Soma Walawi 25Walawi 25:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utajihesabia Sabato saba za miaka, maana, miaka saba mara saba; zitakuwa ni siku za Sabato saba za miaka kwenu, maana miaka arubaini na tisa.
Shirikisha
Soma Walawi 25