Walawi 23:5
Walawi 23:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza mtaadhimisha kwa heshima yangu mimi Mwenyezi-Mungu sikukuu ya Pasaka.
Shirikisha
Soma Walawi 23Walawi 23:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni Pasaka ya BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 23