Walawi 23:4
Walawi 23:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Sikukuu zangu nyingine mimi Mwenyezi-Mungu ambazo mtakuwa na mkutano mtakatifu zitafanyika katika nyakati zifuatazo zilizopangwa.
Shirikisha
Soma Walawi 23Walawi 23:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayatangaza kwa nyakati zake.
Shirikisha
Soma Walawi 23