Walawi 23:2
Walawi 23:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Waambie Waisraeli hivi: Katika sikukuu zangu mimi Mwenyezi-Mungu ambazo zimepangwa mtakuwa na mkutano mtakatifu. Sikukuu ambazo nimepanga ni hizi
Shirikisha
Soma Walawi 23Walawi 23:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Sikukuu za BWANA, ambazo mtazitangaza kuwa ni makusanyiko matakatifu; hizi ni sikukuu zangu.
Shirikisha
Soma Walawi 23