Walawi 20:7-8
Walawi 20:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, jiwekeni wakfu muwe watakatifu; kwani mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Shikeni masharti yangu na kuyatekeleza. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu ninayewatakasa.
Shirikisha
Soma Walawi 20Walawi 20:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitakaseni basi, kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu. Nanyi zishikeni sheria zangu, na kuzitenda; Mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Shirikisha
Soma Walawi 20