Walawi 19:34 - Linganisha Matoleo Yote
Walawi 19:34 BHN (Biblia Habari Njema)
Huyo mgeni anayekaa nawe atakuwa kwako kama mwenyeji nawe utampenda kama unavyojipenda mwenyewe, kwa kuwa nawe ulikuwa mgeni katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Walawi 19 BHNWalawi 19:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mgeni akaaye pamoja nawe atakuwa kama mzalia kwenu; mpende kama nafsi yako; kwa maana ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Walawi 19 SUVWalawi 19:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mgeni aishiye pamoja nawe atakuwa kama mzaliwa kwenu; mpende kama nafsi yako; kwa maana ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Walawi 19 SRUVWalawi 19:34 NEN (Neno)
Mgeni anayeishi pamoja nawe ni lazima umtendee kama mmoja wa wazawa wa nchi yako. Mpende kama unavyojipenda mwenyewe, kwa maana ulikuwa mgeni katika nchi ya Misri. Mimi ndimi BWANA Mungu wako.
Shirikisha
Walawi 19 NEN