Walawi 19:25
Walawi 19:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini matunda ya kuanzia mwaka wa tano hayo mnaweza kula, na mavuno yenu yataongezeka. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika mwaka wa tano mtakula matunda yake, ili ipate kuwapa mavuno yake; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 19