Walawi 19:20
Walawi 19:20 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwanamume akilala na mwanamke mtumwa ambaye ameposwa na mwanamume mwingine, lakini bado hajakombolewa wala kupewa uhuru, uchunguzi ufanywe. Lakini wasiuawe kwa sababu mwanamke huyo hakuwa bado huru.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena mtu yeyote alalaye na mwanamke aliye mjakazi, naye ameposwa na mwanamume mwingine, wala hakukombolewa kwa lolote, wala hakupewa uhuru wake; watachunguzwa; hawatauawa, kwa sababu huyo mwanamke hakuwa huru.
Shirikisha
Soma Walawi 19