Walawi 11:4
Walawi 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini msile mnyama yeyote ambaye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili, au ambaye kwato zake zimegawanyika lakini hacheui. Msile ngamia, kwani hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili. Kwenu huyo ni najisi.
Shirikisha
Soma Walawi 11Walawi 11:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Shirikisha
Soma Walawi 11