Walawi 1:15
Walawi 1:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuhani atamleta ndege huyo kwenye madhabahu, atamkongonyoa kichwa chake na kukiteketeza juu ya madhabahu. Damu yake itanyunyiziwa ubavuni mwa madhabahu.
Shirikisha
Soma Walawi 1Walawi 1:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha kuhani atamleta karibu na madhabahu, naye atamkongonyoa kichwa, na kumteketeza kwa moto juu ya madhabahu; na damu yake itachuruzishwa kando ya madhabahu
Shirikisha
Soma Walawi 1