Maombolezo 3:22-24
Maombolezo 3:22-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.
Maombolezo 3:22-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Kila kunapokucha ni mpya kabisa, uaminifu wake ni mkuu mno. Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu.
Maombolezo 3:22-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)