Maombolezo 3:21-22
Maombolezo 3:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:21-22 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. Kwa sababu ya upendo mkuu wa BWANA, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nakumbuka jambo hili moja, nami ninalo tumaini: Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:21-22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3