Maombolezo 2:19
Maombolezo 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiku kucha uamkeamke ukalie. Mfungulie Mwenyezi-Mungu yaliyo moyoni mwako. Mwinulie mikono yako kuwaombea watoto wako, watoto wanaozirai kwa njaa popote barabarani.
Shirikisha
Soma Maombolezo 2Maombolezo 2:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Inuka, ulalamike usiku, Mwanzo wa mikesha yake; Mimina moyo wako kama maji usoni pa Bwana; Umwinulie mikono yako; Kwa uhai wa watoto wako wachanga wazimiao kwa njaa, Mwanzo wa kila njia kuu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 2