Yuda 1:9
Yuda 1:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata Mikaeli, malaika mkuu, hakufanya hivyo. Katika ule ubishi kati yake na Ibilisi juu ya mwili wa Mose, Mikaeli hakuthubutu kumhukumu Ibilisi kwa matusi, ila alisema: “Bwana mwenyewe na akukaripie.”
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.
Shirikisha
Soma Yuda 1