Yuda 1:24
Yuda 1:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye awezaye kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwake yeye awezaye kuwalinda msije mkaanguka, na kuwaleta nyinyi bila hatia mpaka mbele ya utukufu wake
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye awezaye kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu
Shirikisha
Soma Yuda 1