Yuda 1:22-23
Yuda 1:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na huruma kwa watu walio na mashaka; waokoeni kwa kuwanyakua kutoka motoni. Lakini kwa wengine muwe na huruma pamoja na tahadhari, mkichukia hata mavazi yao yenye madoa ya tamaa zao mbaya.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wahurumieni wengine walio na mashaka, na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:22-23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wahurumieni wengine walio na shaka, na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili.
Shirikisha
Soma Yuda 1