Yuda 1:20-21
Yuda 1:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi, wapenzi wangu, jijengeni wenyewe juu ya imani yenu takatifu kabisa. Salini kwa nguvu ya Roho Mtakatifu, na kudumu katika upendo wa Mungu, mkimngojea Bwana wetu Yesu Kristo ambaye, kwa huruma yake, atawajalieni uhai wa milele.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali ninyi, wapenzi, mkijijenga juu ya imani yenu iliyo takatifu sana, na kuomba katika Roho Mtakatifu, jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yuda 1