Yuda 1:17
Yuda 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi wapenzi wangu, kumbukeni yale mliyoambiwa hapo awali na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali ninyi, wapenzi, yakumbukeni maneno yaliyonenwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo
Shirikisha
Soma Yuda 1