Yoshua 7:19
Yoshua 7:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, msifu na kisha uniambie yale uliyotenda, wala usinifiche.”
Shirikisha
Soma Yoshua 7Yoshua 7:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yoshua akamwambia Akani, Mwanangu, nakusihi, umtukuze BWANA, Mungu wa Israeli, ukaungame kwake; uniambie sasa ulilolitenda; usinifiche.
Shirikisha
Soma Yoshua 7