Yoshua 6:22
Yoshua 6:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua akawaambia wale wapelelezi wawili walioipeleleza nchi hiyo, “Nendeni katika nyumba ya yule kahaba; mkamlete yule mwanamke na wale wote ambao ni ndugu zake kama mlivyomwapia.”
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yoshua akawaambia wale wanaume wawili walioipeleleza nchi, Ingieni katika nyumba ya yule kahaba, mkamtoe huyo mwanamke mwenyewe na vitu vyote alivyo navyo, kama mlivyomwapia.
Shirikisha
Soma Yoshua 6