Yoshua 6:21
Yoshua 6:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha wakaangamiza kila kitu mjini humo na kuwaua kwa upanga: Wanaume na wanawake, vijana na wazee, ng'ombe, kondoo na punda.
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wakaangamiza kabisa vitu vyote vilivyokuwa ndani ya mji, wanaume, wanawake, watoto na wazee, na ng'ombe, kondoo na punda, kwa upanga.
Shirikisha
Soma Yoshua 6