Yoshua 6:2-3
Yoshua 6:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Angalia! Mimi nitautia mikononi mwako mji wa Yeriko pamoja na mfalme wake na askari wake shujaa. Wewe na wale watu wenye silaha wote mtauzunguka huo mji mara moja kila siku kwa siku sita.
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Yoshua, Tazama, nimeutia Yeriko katika mkono wako, na mfalme wake, na mashujaa wake. Nanyi mtauzunguka mji huu, wapiganaji wote, mkiuzunguka mji mara moja. Fanya hivi siku sita.
Shirikisha
Soma Yoshua 6