Yoshua 6:10
Yoshua 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yoshua akawaamuru watu, “Msipige kelele au kutoa sauti, wala neno lolote lisitoke vinywani mwenu, mpaka siku ile ambapo nitawaambieni mpige kelele; wakati huo ndipo mtakapopiga kelele.”
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yoshua akawaamuru watu, akasema Msipige kelele, wala sauti zenu zisisikiwe, wala neno lolote lisitoke kinywani mwenu, hadi siku ile nitakapowaamuru kupiga kelele, ndipo mtakapopiga kelele.
Shirikisha
Soma Yoshua 6