Yoshua 5:9 - Compare All Versions
Yoshua 5:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Leo hii nimewaondoleeni ile aibu ya Misri.” Hivyo mahali hapo pakaitwa Gilgali mpaka hivi leo.
Shirikisha
Yoshua 5 BHNYoshua 5:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
BWANA akamwambia Yoshua, Siku hii ya leo nimeivingirisha hiyo aibu ya Misri iondoke juu yenu. Kwa hiyo jina la mahali pale likaitwa Gilgali, hata hivi leo.
Shirikisha
Yoshua 5 SRUVYoshua 5:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Yoshua, Siku hii ya leo nimeivingirisha hiyo aibu ya Misri iondoke juu yenu. Kwa hiyo jina la mahali pale likaitwa Gilgali, hata hivi leo.
Shirikisha
Yoshua 5 SUVYoshua 5:9 NEN (Neno)
BWANA akamwambia Yoshua, “Leo nimeiondoa aibu ya Wamisri kutoka kwenu.” Basi mahali pale pakaitwa Gilgali hadi leo.
Shirikisha
Yoshua 5 NEN