Yoshua 5:12
Yoshua 5:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tangu siku hiyo walipokula mazao ya nchi hiyo Waisraeli hawakupata mana tena. Tangu mwaka huo Waisraeli walikula mazao ya nchi ya Kanaani.
Shirikisha
Soma Yoshua 5Yoshua 5:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo ile mana ikakoma siku ya pili yake, baada ya wao kuyala hayo mazao ya nchi; na hao wana wa Israeli hawakuwa na mana tena; lakini wakala mazao ya nchi ya Kanaani mwaka huo.
Shirikisha
Soma Yoshua 5