Yoshua 3:7
Yoshua 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua: “Leo hii, nitaanza kukutukuza mbele ya watu wote wa Israeli ili wajue kwamba, kama vile nilivyokuwa pamoja na Mose, ndivyo pia nitakavyokuwa pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Yoshua 3Yoshua 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa pamoja na Musa.
Shirikisha
Soma Yoshua 3