Yoshua 3:1
Yoshua 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Asubuhi na mapema Yoshua pamoja na watu wote wa Israeli walianza safari kutoka Shitimu. Walipoufikia mto Yordani, walipiga kambi hapo kwa muda kabla ya kuvuka.
Shirikisha
Soma Yoshua 3Yoshua 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao wakatoka Shitimu, wakafika katika mto wa Yordani, yeye na wana wa Israeli wote, wakakaa hapo kabla ya kuvuka.
Shirikisha
Soma Yoshua 3