Yoshua 24:26
Yoshua 24:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua akayaandika haya yote katika kitabu cha sheria ya Mungu; kisha, akachukua jiwe kubwa na kulisimika chini ya mwaloni katika hema ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Yoshua 24Yoshua 24:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yoshua akayaandika maneno haya katika kitabu cha Torati ya Mungu; kisha akatwaa jiwe kubwa, akalisimamisha huko, chini ya ule mwaloni uliokuwa karibu na patakatifu pa BWANA.
Shirikisha
Soma Yoshua 24