Yoshua 23:10-11
Yoshua 23:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu wenu mmoja tu anaweza kuwakimbiza maadui elfu, kwani Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye anayewapigania kama alivyowaahidi. Basi, muwe waangalifu sana kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Yoshua 23Yoshua 23:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mmoja miongoni mwenu atafukuza watu elfu; maana BWANA, Mungu wenu, ndiye anayewapigania, kama alivyowaambia. Jihadharini nafsi zenu, basi, ili mmpende BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Yoshua 23