Yoshua 2:6
Yoshua 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Rahabu alikuwa amewapandisha hao wapelelezi kwenye paa na kuwaficha kwa mabua ya kitani aliyokuwa ameyatandaza huko paani.
Shirikisha
Soma Yoshua 2Yoshua 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yeye alikuwa amewapandisha darini, akawaficha kwa mabua ya kitani, aliyokuwa ameyatandika juu ya dari.
Shirikisha
Soma Yoshua 2