Yoshua 2:24
Yoshua 2:24 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Wakamwambia Yoshua, “Hakika BWANA ametupatia nchi yote mikononi mwetu; watu wote wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yetu.”
Shirikisha
Soma Yoshua 2Yoshua 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakamwambia “Hakika Mwenyezi-Mungu ameitia nchi yote mikononi mwetu. Tena wakazi wa nchi hiyo wamekufa moyo kwa sababu yetu.”
Shirikisha
Soma Yoshua 2Yoshua 2:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamwambia Yoshua, Hakika BWANA ameitia nchi yote katika mikono yetu; tena zaidi ya hayo wenyeji wa nchi wanayeyuka mbele yetu.
Shirikisha
Soma Yoshua 2