Yoshua 2:14 - Compare All Versions
Yoshua 2:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Wale watu wakamjibu, “Uhai wenu ni uhai wetu! Kama hamtaifichua siri yetu, Mwenyezi-Mungu atakapotupa nchi hii, tutakutendea kwa wema na uaminifu.”
Shirikisha
Yoshua 2 BHNYoshua 2:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wanaume wakamwambia, Uhai wetu badala ya uhai wenu, ikiwa hamwitangazi habari ya shughuli yetu hii; kisha itakuwa, wakati BWANA atakapotupa nchi hii, tutakutendea kwa ihisani na uaminifu.
Shirikisha
Yoshua 2 SUVYoshua 2:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wale wanaume wakamwambia, Tutautoa uhai wetu badala ya uhai wenu, ikiwa hamwitangazi habari ya shughuli yetu hii; kisha itakuwa, wakati BWANA atakapotupa nchi hii, tutakutendea kwa hisani na uaminifu.
Shirikisha
Yoshua 2 SRUVYoshua 2:14 NEN (Neno)
Wale watu wakamhakikishia Rahabu, “Uhai wetu kwa uhai wenu! Ikiwa hutatoa habari ya nini tunachofanya, BWANA atakapotupatia nchi hii, tutawatendea kwa hisani na kwa uaminifu.”
Shirikisha
Yoshua 2 NEN