Yoshua 2:12
Yoshua 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo basi, tafadhali mniapie kwa jina la Mwenyezi-Mungu kwamba mtanitendea kwa wema mimi na jamaa yangu kama vile mimi nilivyowatendeeni kwa wema, na mnipe uthibitisho kamili.
Shirikisha
Soma Yoshua 2Yoshua 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, nawasihi, niapieni kwa BWANA, kwa kuwa nimewatendea hisani, ya kwamba ninyi nanyi mtaitendea hisani nyumba ya baba yangu; tena nipeni alama ya uaminifu
Shirikisha
Soma Yoshua 2