Yoshua 2:11
Yoshua 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara tu tuliposikia mambo hayo, tulikufa moyo kabisa kwa sababu yenu, tukaishiwa nguvu kabisa. Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu juu mbinguni na chini duniani!
Shirikisha
Soma Yoshua 2Yoshua 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mara tuliposikia hayo mioyo yetu iliyeyuka, wala haukusalia ujasiri wowote katika mtu awaye yote, kwa sababu yenu; kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu, katika mbingu juu na katika nchi chini.
Shirikisha
Soma Yoshua 2