Yoshua 18:4
Yoshua 18:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Chagueni watu watatu kutoka kila kabila niwatume nchini kote wachunguze na kuchora ramani kulingana na makabila yao, kisha waniletee taarifa.
Shirikisha
Soma Yoshua 18Yoshua 18:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya, jichagulieni watu watatu kwa ajili ya kila kabila; nami nitawatuma, nao watainuka waende kati ya hiyo nchi, na kuiandika kama urithi wao ulivyo; kisha watanijia.
Shirikisha
Soma Yoshua 18