Yoshua 17:12
Yoshua 17:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wazawa wa Manase hawakuweza kuwafukuza wakazi wa miji hiyo, Wakanaani wakaendelea kuishi humo
Shirikisha
Soma Yoshua 17Yoshua 17:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wana wa Manase hawakuweza kuwafukuza wenyeji wa miji hiyo; bali hao Wakanaani walijikaza ili wakae katika nchi hiyo.
Shirikisha
Soma Yoshua 17