Yoshua 16:10
Yoshua 16:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Waefraimu hawakuwafukuza Wakanaani walioishi Gezeri. Wakanaani hao waliendelea kukaa miongoni mwa watu wa Efraimu mpaka leo, wakiwa watumwa wa kuwafanyia kazi za kulazimishwa.
Shirikisha
Soma Yoshua 16Yoshua 16:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao hawakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa Gezeri; lakini hao Wakanaani waliketi kati ya Efraimu, hata hivi leo, wakawa watumishi wa kufanya kazi za shokoa.
Shirikisha
Soma Yoshua 16