Yoshua 15:13
Yoshua 15:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kalebu mwana wa Yefune, alipewa sehemu ya nchi ya Yuda kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua. Alipewa Kiriath-arba au mji wa Arba ambaye alikuwa babu wa Anaki. Mji huo sasa unaitwa Hebroni.
Shirikisha
Soma Yoshua 15Yoshua 15:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha alimpa huyo Kalebu mwana wa Yefune sehemu kati ya wana wa Yuda, kama BWANA alivyomwamuru Yoshua, Kiriath-arba, ndiyo Hebroni (ni huyo Arba aliyekuwa babaye Anaki).
Shirikisha
Soma Yoshua 15