Yoshua 13:13
Yoshua 13:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, Wageshuri na Wamaaka hawakufukuzwa bali wanaishi miongoni mwa Waisraeli mpaka leo.
Shirikisha
Soma Yoshua 13Yoshua 13:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pamoja na hayo wana wa Israeli hawakuwafukuza Wageshuri, wala Wamaaka; lakini Wageshuri na Wamaaka wamekaa kati ya Israeli, hadi siku hii ya leo.
Shirikisha
Soma Yoshua 13