Yoshua 10:37
Yoshua 10:37 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wakautwaa, na kuupiga kwa makali ya upanga, na mfalme wake, na miji yake yote, na wote waliokuwamo ndani yake; hakumwacha aliyesalia hata mtu mmoja, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia huo mji wa Egloni; lakini akauangamiza kabisa, na wote pia waliokuwamo ndani yake.
Yoshua 10:37 Biblia Habari Njema (BHN)
na kuuteka. Wakawaua wakazi wake wote pamoja na mfalme wao; waliiharibu kabisa miji mingine iliyouzunguka, wakawaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Egloni.
Yoshua 10:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)