Yoshua 1:4
Yoshua 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mipaka ya nchi yenu itakuwa hivi: Kusini ni jangwa, kaskazini ni milima ya Lebanoni, mashariki ni mto ule mkubwa Eufrate, kupitia nchi yote ya Wahiti hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Toka jangwa hili na mlima huu, Lebanoni, mpaka mto ule mkubwa, mto wa Frati, nchi yote ya Wahiti, tena mpaka bahari ile kubwa upande wa machweo ya jua, hapo ndipo patakapokuwa mpaka wenu.
Shirikisha
Soma Yoshua 1