Yoshua 1:2-3
Yoshua 1:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mtumishi wangu Mose amefariki, sasa vukeni mto Yordani, wewe pamoja na Waisraeli wote hadi kwenye nchi ile ambayo ninawapa. Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa mtumishi wangu amefariki; sasa ondoka, vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hadi nchi niwapayo wana wa Israeli. Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Musa mtumishi wangu amekufa; haya basi, ondoka, vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hata nchi niwapayo wana wa Israeli. Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa.
Shirikisha
Soma Yoshua 1