Yoshua 1:11
Yoshua 1:11 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Tayarisheni vyakula vyenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa iwe yenu.’ ”
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Piteni katika kambi na kuwaamrisha watu watayarishe chakula, kwa kuwa baada ya siku tatu mtavuka mto Yordani, kwenda kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapeni iwe mali yenu.”
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Piteni katika kambi, mkawaamuru hao watu, mkisema, Tayarisheni vyakula; kwa maana baada ya siku tatu mtavuka mto huu wa Yordani, ili kuingia na kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, mpate kuimiliki.
Shirikisha
Soma Yoshua 1