Yona 4:9
Yona 4:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu akamwambia Yona, “Je, unadhani wafanya vema kuukasirikia mmea huo?” Yona akajibu, “Ndiyo, nafanya vema kukasirika – kukasirika hata kufa!”
Shirikisha
Soma Yona 4Yona 4:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamwambia Yona, Je! Unatenda vema kukasirika kwa ajili ya mtango? Naye akasema, Ndiyo, natenda vema kukasirika hata kufa.
Shirikisha
Soma Yona 4